Bernadeta Kasabago Mushashu

Bernadeta Kasabago Mushashu (alizaliwa 18 Agosti 1953 [1]) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalum vya wanawake kwa miaka 20152020. [2]

Ameandika kitabu kijulikanacho kama Girls and Secondary Schoool Physics in Tanzania. [3]

MarejeoEdit

  1. https://peoplepill.com/people/bernadeta-mushashu/
  2. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  3. https://books.google.co.tz/books/about/Girls_and_Secondary_School_Physics_in_Ta.html?id=D5X2SgAACAAJ&redir_esc=y