Bertha von Suttner

Bertha Félicie Sophie von Suttner (9 Juni 184321 Juni 1914) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Austria. Hasa aliandika riwaya kwa ajili ya kuhamasisha amani ya kimataifa. Mwaka wa 1905 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Bertha von Suttner
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bertha von Suttner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.