Binilith Satano Mahenge

Binilith Satano Mahenge (amezaliwa tar. 4 Januari 1962) ni mbunge wa jimbo la Makete katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

  1. Mengi kuhusu Binilith Satano Mahenge (13 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nnjeEdit