Open main menu

Biografia

Biografia (kutoka Kiing. Biography) ni neno la kutaja hadithi ya kweli ya maisha ya mtu. Asili ya neno ni Kigiriki, hasa lilitaja bios (= maisha) na graphein (= andika). Biografia kwa Kiswahili kilichozoeleka ni "Wasifu", japo kumekuwa na tabia ya kukopa maneno. Wasifu ukiandikwa na muhusika unaitwa "tawasifu" ambapo kwa Kiingereza wanaita autobiography.

Biografia ni sehemu ya fasihi. Kupitia maandishi mbalimbali, biografia inaweza pia kutengenezewa filamu na kadhalika.

Tazama piaEdit