Bitch (mwanamuziki)

Bitch (jina la kuzaliwa Karen Mould, pia anajulikana kama Capital B; alizaliwa Machi 30, 1973) ni mwanamuziki, mwigizaji, na mtunzi wa nyimbo wa Marekani.

Anajulikana sana kwa kazi zake mbalimbali kama vile Bitch and Anima, John Cameron Mitchell na Shortbus, pia anajulikana kwa kazi yake ya muziki] wa kitamaduni wa Kanada, na mradi wake mpya wa BEACH.

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bitch (mwanamuziki) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.