30 Machi
tarehe
(Elekezwa kutoka Machi 30)
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Machi ni siku ya 89 ya mwaka (ya 90 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 276.
Matukio
hariri- 1191 - Uchaguzi wa Papa Selestini III
- 1492 - Wafalme Ferdinand na Isabella wa Hispania waamuru kufukuzwa nchini kwa Wayahudi wote wasiopokea imani ya Kikatoliki
Waliozaliwa
hariri- 1746 - Francisco de Goya, mchoraji kutoka Hispania
- 1853 - Vincent van Gogh, mchoraji kutoka Uholanzi
- 1948 - Method Kilaini, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1964 - Tracy Chapman, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1202 - Mwenye heri Yohakimu wa Fiore, abati kutoka Italia
- 1456 - Mtakatifu Petro Regalado, padri Mfransisko kutoka Hispania
- 1885 - Mtakatifu Ludoviko wa Casoria, padri Mfransisko kutoka Italia
- 1949 - Friedrich Bergius, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1931
- 1965 - Philip Hench, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sekundo wa Asti, Donino wa Thesalonike, Regulo wa Senlis, Wafiadini wa imani sahihi wa Konstantinopoli, Yohane wa Ngazi, Zosimo wa Sirakusa, Osburga, Klinio, Petro Regalado, Antoni Daveluy na wenzake, Ludoviko wa Casoria, Leonardo Murialdo, Julio Alvarez n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |