Bitinia (kwa Kigiriki: Βιθυνία, Bithynía) ilikuwa eneo la kaskazini mwa rasi ya Anatolia (leo nchini Uturuki).

Bitinia ikionyeshwa na rangi nyekundu.

Kuanzia karne ya 4 KK hadi mwaka 74 KK ilikuwa ufalme wenye Nikomedia kama mji mkuu.

Baadaye ilitekwa na Dola la Roma hadi Waturuki Waseljuki walipoiteka katika miaka 1325-1333.

Marejeo hariri