Black Reign ni jina la kutaja albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Queen Latifah. Albamu ilitolewa mnamo tar. 16 Novemba 1993 huko nchini Marekani. Ukilinganisha na hujudi za albamu zake mbili za awali, Black Reign ilikuwa albamu yake yenye mafanikio makubwa kwa hadi muda huu kwa Latifah, kwa kushika nafasu ya sita katika chati za Billboard 200 na kwenda hadi katika nishani ya dhahabu kwa RIAA. Albamu pia ilishika nafasi ya kumi na tano katika chati za Top R&B/Hip-Hop Albums.

Black Reign
Black Reign Cover
Studio album ya Queen Latifah
Imetolewa 16 Novemba 1993 (U.S.)
Imerekodiwa Skyline Studio, Giant Studio, & Unique Studio, NYC, Novemba 1992-Septemba 1993
Aina Hip hop, vocal jazz
Urefu 55:44
Lebo Motown
Mtayarishaji Sidney "S.I.D." Reynolds, Tony Dofat, Kay Gee, Queen Latifah
Wendo wa albamu za Queen Latifah
Nature of a Sista
(1991)
Black Reign
(1993)
Order in the Court
(1998)


Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 4/5 stars [Black Reign katika Allmusic link]
Robert Christgau (2 star Honorable Mention)(2 star Honorable Mention)(3 star Honorable Mention)[1]

Orodha ya nyimbo

hariri
  1. "Black Hand Side" – 3:22
  2. "Listen 2 Me" – 4:43
  3. "I Can't Understand" – 3:50
  4. "Rough..." (akiwa na Treach, Heavy D & the Boyz na KRS-One) – 5:04
  5. "The D.J.'s" – 1:38
  6. "Bring tha Flava" – 3:25
  7. "Coochie Bang..." (akiwa na Treach) – 3:46
  8. "Superstar" – 3:56
  9. "No Work" – 2:51
  10. "Just a Flow (Interlude)" – 1:30
  11. "Just Another Day..." – 4:29
  12. "U.N.I.T.Y." – 4:11
  13. "Weekend Love" (akiwa na Tony Rebel) – 4:09
  14. "Mood Is Right" – 3:30
  15. "Winki's Theme" – 5:29

Marejeo

hariri
  1. Christgau, Robert (1994). "Consumer Guide Album". The Village Voice. Iliwekwa mnamo 2012-01-25. {{cite journal}}: Unknown parameter |month= ignored (help)