Order in the Court ni jina la albamu ya nne ya rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani - Queen Latifah. Albamu ilitoka tarehe 16 Juni 1998 huko Marekani kupitia studio za Motown Records. Albamu ipo katika moja ya sehemu ya kuwaenzi Tupac Shakur na The Notorious B.I.G.. Hii ni albamu ya kwanza ya Latifah kuwa na onyo la Parental Advisory juu yake.
Order in the Court |
|
Studio album ya Queen Latifah |
Imetolewa |
16 Juni 1998 |
Imerekodiwa |
1997–1998 |
Aina |
Hip hop, R&B |
Urefu |
55:17 |
Lebo |
Flavor Unit / Motown |
Mtayarishaji |
Marcus "DL" Siskind, Big Jaz, Clark Kent, Chad "Dr. Ceuss" Elliott, Kay Gee, Pras & Jerry Wonda, Queen Latifah, Divine Styler, Martin "Kendu" Issacs, Darryl "Big Baby" McClary & Mike "Suga" Allen, Diamond D |
Wendo wa albamu za Queen Latifah |
|
- "Bananas (Who You Gonna Call?)" (akiwa na Apache) – 4:00
- "Court Is in Session" – 3:52
- "No/Yes (Skit)" – 0:44
- "No/Yes" – 4:50
- "Turn You On" – 4:21
- "Black on Black Love" (akiwa na Antonique Smith na Next) – 5:05
- "Parlay" – 4:52
- "Paper" – 4:00
- "What Ya Gonna Do" (akiwa na Inaya Jafan) – 4:33
- "It's Alright" – 3:35
- "Phone Call Skit" – 0:34
- "Brownsville" (akiwa na Le Fem Markita, Scarlet na Nikki D) – 4:40
- "I Don't Know" (akiwa na Sisqó) – 4:29
- "Life" – 5:42
- "Let Her Live" (akiwa na Next)
- "Let Her Live" (akiwa na Next)
- "Keep Your Head to the Sky"