Boison Wynney
Boison Wynney de Souza (alizaliwa 27 Desemba 1996 anayejulikana kama Boison Wynney ) ni mchezaji wa soka wa Liberia ambaye anacheza katika klabu ya Hispania iitwayo RCD Mallorca B kama kipa.
Boison Wynney
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Hispania, Liberia |
Nchi anayoitumikia | Liberia |
Tarehe ya kuzaliwa | 27 Desemba 1996 |
Mahali alipozaliwa | Palma |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kiingereza |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Mwanachama wa timu ya michezo | Gloria Ultra |
Mchezo | mpira wa miguu |
Kazi ya kimataifa
haririBoison alizaliwa huko Palma, Majorca ambapo anaishi baba yake Liberia na mama yake anaishi Brazil. Kwa hiyo alikuwa na haki ya kuwakilisha Liberia au Brazil. Alipokea muito kwa mara yake ya kwanza kuchezea Timu ya taifa ya Liberia mnamo 2 Novemba 2016. Alicheza kwa mara ya kwanza timu yake ya taifa lakini wlifungwa 3 kwa 0 dhidi ya Zimbabwe kwa ajiliya kufuzu ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2019 .
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boison Wynney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |