Palma (awali: Palma de Mallorca) ni mji wa Hispania, makao makuu ya visiwa vya Baleari.

Mwaka 2018 wakazi wake walikuwa 409,661[1], ukiwa wa kumi na mbili nchini kwa wingi wa watu.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Municipal Register of Spain 2018. National Statistics Institute.

Viungo vya njeEdit

  Palma de Mallorca travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Palma kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.