Bomambuzi

(Elekezwa kutoka Boma Mbuzi)

Bomambuzi ni kata mojawapo ya Moshi Mjini katika Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania yenye postikodi namba 25120.

Kata ina jumla ya mitaa mitano ambayo ni Relini, Kilimani, Bomambuzi, Sokoni na Kanisani.

Kata ina jumla ya shule mbili za msingi yaani Mandela na Azimio. Pia ina soko la bidhaa linalojulikana kama Pasua Sokoni pamoja na Kituo cha Afya cha Pasua.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 20,326 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,776 [2] walioishi humo.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Kilimanjaro - Moshi MC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-23. 
  Kata za Wilaya ya Moshi Mjini - Mkoa wa Kilimanjaro - Tanzania  

Bomambuzi | Bondeni | Kaloleni | Karanga | Kiborloni | Kilimanjaro | Kiusa | Korongoni | Longuo B | Majengo | Mawenzi | Mfumuni | Miembeni | Mji Mpya | Msaranga | Ng'ambo | Njoro | Pasua | Rau | Shirimatunda | Soweto


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bomambuzi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.