Bonde la Songwe ni kata ya Wilaya ya Mbeya Vijijini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kata hili liko kwenye bonde la mto Songwe ya Kaskazini unapokutana nana barabara ya TANZAM. Kuna kiwanda kikubwa cha saruji.

Kata ya Bonde la Usongwe
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Vijijini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 21,300

Kiwanja cha ndege kipya cha Mbeya kimejengwa hapa kwenye eneo la Bonde la Usongwe.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 21,300 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 18,487 [2] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53209.

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-12. 
  Kata za Wilaya ya Mbeya VijijiniMkoa wa Mbeya - Tanzania  

Bonde la Songwe | Igale | Igoma | Ihango | Ijombe | Ikukwa | Ilembo | Ilungu | Inyala | Isuto | Itawa | Itewe | Iwiji | Iwindi | Iyunga Mapinduzi | Izyira | Lwanjilo | Maendeleo | Mjele | Masoko | Mshewe | Nsalala | Santilya | Shizuvi | Swaya | Tembela | Ulenje | Utengule/Usongwe


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bonde la Songwe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.