Santilya ni jina la kata ya Wilaya ya Mbeya Vijijini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 17,578 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53211.

Kata ya Santilya
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Vijijini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 17,578

Santilya ni kitovu cha Umalila na wenyeji asilia ni hasa Wamalila. Katika mazingira ya Santilya dhehebu la Jeshi la Wokovu lina wafuasi wengi kiasi. Kuna shule ya sekondari.

Marejeo Edit

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-12.
  Kata za Wilaya ya Mbeya VijijiniMkoa wa Mbeya - Tanzania  

Bonde la Usongwe | Igale | Igoma | Ihango | Ijombe | Ikukwa | Ilembo (Mbeya vijijini) | Ilungu | Inyala | Isuto | Itawa | Itewe | Iwiji | Iwindi | Iyunga Mapinduzi | Izyira | Lwanjiro | Maendeleo | Mjele | Masoko | Mshewe | Nsalala | Santilya | Shizuvi | Swaya | Tembela | Ulenje | Utengule Usongwe


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santilya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.