Boomplay ni huduma ya usikilizaji na upakuaji wa muziki inayolenga Afrika, ilizinduliwa nchini Nigeria mwaka 2015 na TECNO Mobile.

Boomplay Music

Inatoa huduma za bure na za kulipia, ambapo vipengele vya bure vina matangazo au vikwazo, na vipengele vya kulipia vinajumuisha kupakua muziki na kusikiliza bila matangazo.

Huduma hii inapatikana kwa majukwaa ya Web, Android na iOS. Kufikia Agosti 2018, Boomplay ilikuwa na upakuaji milioni 10, na sasa ina zaidi ya watumiaji milioni 75 kila mwezi na orodha ya nyimbo zaidi ya milioni 100 kutoka kwa wasanii milioni 7.5.[1]

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.