Boris Kodjoe (alizaliwa Vienna, Austria, 8 Machi 1973) ni mwigizaji filamu wa Ghana anayeishi Marekani.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boris Kodjoe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.