Bradley James
Bradley James (alizaliwa 11 Oktoba 1983) ni mwigizaji wa Uingereza aliyeigiza kwa jina la Arthur Pendragon katika mfululizo wa fantasia ya BBC wa Merlin.
Bradley James | |
---|---|
Bradley James katika filamu ya Merlin | |
Amezaliwa | 11 Oktoba 1983 |
Kazi yake | mwigizaji wa Uingereza |
Maisha yake binafsi
haririBradley James alizaliwa huko Exeter, Devon, Uingereza. Yeye na familia yake walihamia Jacksonville, Florida, huko Marekani akiwa na umri wa miaka tisa. Wakati wake huko, alihudhuria shule ya msingi na kabla ya kurejea England alihudhuria Shule ya Madeley huko Madeley, England.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bradley James kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |