Branu Tegene (amezaliwa Ethiopia, 3 Agosti 1981) ni mwandishi wa habari wa Israeli na mtangazaji wa habari za uhalifu wa Hevrat HaHadashot.

Wasifu

hariri

Tegene baba yake alikuwa mwalimu na mkuu wa shule, na mama yake alikuwa mama wa nyumbani.

Alihamia Israel pamoja na wazazi na dada yake mwaka 1992 kama sehemu ya muendelezo wa Operesheni Solomon. Ana kaka zake watatu. Familia yao hapo awali iliishi kwenye kituo cha wahamiaji huko Arad .

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Branu Tegene kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.