British Kolumbia
(Elekezwa kutoka British Columbia)
British Kolumbia (kwa kifupi huitwa B.K.) ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Pasifiki lililopo kati ya Marekani bara na Alaska.
British Kolumbia | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Victoria | ||
Eneo | |||
- Jumla | 944,735 km² | ||
Tovuti: http://www.gov.bc.ca/ |
Ni mmoja kati ya majimbo makubwa ya Kanada yenye kilomita za mraba zipatazo 944,735.
Kunako mwaka wa 2001, idadi ya wakazi ilikuwa 3,907,738. Kunako mwaka wa 2005, iliaminika ya kwamba idadi ya watu imefikia 4,220,000.
Mji mkuu wa British Kolumbia ni Victoria. Mji mkubwa katika British Kolombia ni Vancouver ambao una wakazi wapatao milioni 2 ndani yake. Miji mingine mikubwa imejumlishwa na Kelowna, Abbotsford, Kamloops, Nanaimo, na Prince George.
Miji Mikubwa
haririViungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti rasmi
- Map of British Columbia
- The Political Economy of British Columbia's Rainforests Archived 14 Juni 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu British Kolumbia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |