Brooke Allison (amezaliwa tar. 26 Septemba 1986) ni mwimbaji wa muziki wa pop kutoka mjini Fort Worth, Texas, Marekani. Allison alipata kujulikana zaidi baada ya kutoa wimbo wake wa "The Kiss-Off (Goodbye)" kunako mwaka wa 2001.

Brooke Allison(katikati) akiwa na Beach Girls5
Brooke Allison
Jina la kuzaliwa Brooke Allison
Amezaliwa 26 Novemba 1986 (1986-11-26) (umri 38)
Asili yake Fort Worth, Texas, Marekani
Aina ya muziki Pop
Kazi yake Mwimbaji
Miaka ya kazi 2000–hadi leo
Studio 2K Sounds/Virgin

Wasifu

hariri

Mnamo mwaka 2001, Allison akatoa single yake kwanza iitwayo "The Kiss-Off (Goodbye)", na ikabahataika kushika nafasi ya 28 katika chati za Billboard magazine's Hot Singles Sales.

Albamu yake ya kwanza inaitwa Brooke Allison (albamu), ambayo yenyewe ilitoka kunako mwezi Juni katika mwaka wa 2001.

Mnamo mwaka wa 2002, alikuwa na nyimbo nne ikiwemo na ya "Cinderella II: Dreams Come True" ambayo pia ilitumiwa kuwa kama kibwagizo cha filamu iliyo na jina hilohilo la wimbo na ilipata kutumiwa katika Disney's Princess Favorites. Mwaka mmoja baadaye, alipata kuonekana katika uchezi wa mmoja wa Nickelodeon maarufu kama Taina katika sehemu ya "Hujuma".

Muziki

hariri

Albamu

hariri

Single

hariri
  • "The Kiss-Off (Goodbye)" (2001)

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri