Bruno Van Peteghem

Bruno Van Peteghem (alizaliwa Kaledonia Mpya) alitunukiwa Tuzo ya Mazingira ya Goldman mwaka wa 2001, kwa kampeni yake ya kuweka miamba ya matumbawe ya kisiwa hicho (miongoni mwa miamba mikubwa zaidi duniani na isiyo ya kawaida) kwenye Orodha ya Urithi wa Dunia wa UNESCO ili kulinda miamba hiyo dhidi ya uharibifu utokanao na tasnia ya madini ya nikeli[1] .

Marejeo

hariri
  1. Goldman Environmental Prize: Bruno Van Peteghem Archived 1 Februari 2009 at the Wayback Machine (Retrieved on 10 November 2007)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruno Van Peteghem kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.