Buchi Atuonwu
Msanii wa Injili wa reggae kutoka Nigeria
Buchi Atuonwu, Ni maarufu kama Buchi, ni msanii wa muziki wa injili kutoka nchini Nigeria. Alianza kama Dj katika vilabu vya usiku.
Buchi Atounwu | |
Amezaliwa | 1964 Kaduna |
---|---|
Nchi | Nigeria |
Majina mengine | Buchi |
Kazi yake | Muziki wa injili |
Buchi ni sehemu wa taasisi ya LoveWorld Music and Arts Ministry wa Christ Embassy . [1]
Maisha binafsi hariri
Buchi alizaliwa Kaduna mwaka 1964. [2] Ameishi zaidi huko Lagos .
Albamu hariri
Buchi ametoa albamu 8 za studio. Moja ya albamu zake ni kama zifuatavyo:
Marejeo hariri
- ↑ inscmag (2018-11-02). "LoveWorld Incorporated: The Best Sublime Stars of Good Gospel Playlist". INSCMagazine (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2021-04-08.
- ↑ Modernghana. ""I Live on My Seeds"— Buchi Atuonwu, top Nigeria Reggae Gospel Artiste". modernghana.com. Modernghana. Iliwekwa mnamo 21 October 2016. Check date values in:
|accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Buchi Atuonwu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |