Wilaya ya Buchosa

(Elekezwa kutoka Buchosa)

Wilaya ya Buchosa ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Mwanza, kaskazini mwa Tanzania.

Buchosa imekuwa wilaya mwaka 2016. Kwanza ilikuwa sehemu ya wilaya ya Sengerema, mkoa wa Mwanza.

Makao makuu ya wilaya yako kwenye mji wa Nyehunge.

Katika sensa ya mwaka 2022wakazi walihesabiwa 413,110 [1].

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Buchosa - Mkoa wa Mwanza - Tanzania  

Bangwe | Bugoro | Buhama | Bukokwa | Bulyaheke | Bupandwa | Iligamba | Irenza | Kafunzo | Kalebezo | Kasisa | Katwe |Kazunzu | Lugata | Luharanyonga | Maisome | Nyakaliro | Nyakasasa | Nyakasungwa | Nyanzenda | Nyehunge

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Buchosa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.