Wilaya ya Sengerema

Wilaya ya Sengerema ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mwanza yenye postikodi namba 33300[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 663,034 waishio humo. [2]

Mahali pa Sengerema (kijani) katika mkoa wa Mwanza.

Makao makuu ya wilaya yako kwenye mji wa Sengerema wenye kata nne za Ibisabageni, Mwabaluhi (Mwambului), Nyampulukano na Nyatukala.

Misimbo ya posta katika wilaya hii inaanza na tarakimu 333.

Kuna Telecentre Wilayani Sengerema. Ipo kwenye kwenye makutano ya barabara za Kamanga na Busisi.

MarejeoEdit

  Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania  

Bupandwa | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Igalula | Igulumuki | Irenza | Kagunga | Kalebezo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Katwe | Kishinda | Lugata | Mwabaluhi | Nyakaliro |Nyamatongo | Nyamazugo | Nyampande | Nyampulukano |Nyatukala | Nyehunge | Sima | Tabaruka

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Sengerema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.