Kwa maana nyingine ya jina hili angalia Bukene.

Bukene ni kata ya Wilaya ya Nzega katika Mkoa wa Tabora, Tanzania, yenye postikodi namba 45418.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 11,239 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,641 waishio humo.[2]

Mnamo mwaka 2014 iliweza kuanzishwa tovuti inayohusika na utoaji na usambazaji habari ikiwa chini ya usimamizi wa 'San Media TZ Group'. Tovuti hiyo inajulikana kama San Habari.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Nzega Vijijini - Mkoa wa Tabora - Tanzania  

Budushi | Bukene | Igusule | Ikindwa | Isagenhe | Isanzu | Itobo | Kahamanhalanga | Karitu | Kasela | Lusu | Magengati | Mambali | Mbagwa | Mbutu | Milambo Itobo | Mizibaziba | Mogwa | Muhugi | Mwakashanhala | Mwamala | Mwangoye | Mwantundu | Mwasala | Nata | Ndala | Nkiniziwa | Puge | Semembela | Shigamba | Sigili | Tongi | Uduka | Ugembe | Utwigu | Wela

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukene (Nzega) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.