Bukoba Vijijini
Wilaya ya Bukoba ni wilaya mojawapo kati ya 8 za Mkoa wa Kagera yenye postikodi namba 35200 [1].
Wakazi
haririKatika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 289,697 [2]. Mwaka 2007 wilaya mpya ya Misenyi iliundwa kutokana na maeneo ya awali ya Bukoba vijijini. Hata hivyo, katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 322,448 [3].
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba District Council
- ↑ https://www.nbs.go.tz
Kata za Wilaya ya Bukoba Vijijini - Mkoa wa Kagera - Tanzania |
||
---|---|---|
Behendangabo | Bujugo | Butelankuzi | Ibwera | Izimbya | Kaagya | Kaibanja | Kanyangereko | Karabagaine | Kasharu | Katerero | Katoma | Katoro | Kemondo | Kibirizi | Kikomelo | Kishanje | Kishogo | Kyaitoke | Kyamulaile | Maruku | Mikoni | Mugajwale | Nyakato | Nyakibimbili | Rubafu | Rubale | Ruhunga | Rukoma |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bukoba Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |