Karabagaine ni kata ya Wilaya ya Bukoba Vijijini katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35222 [1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 16,312 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,302 waishio humo.[3].

Karabagaine ni pia jina la mtaa ambao hupatikana katika kata hiyo. Mtaa huo ni maarufu sana kwa sababu ulikuwa mtaa wa biashara ambao watu mashuhuri na tajiri walipata kuishi.

Vilevile katika mtaa huo kuna ziwa la msimu ambalo huitwa "Kashagazi": ziwa hilo lina historia ya pekee hasa kutokana na habari za chanzo chake.

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 171
  3. Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba-District-Council
  Kata za Wilaya ya Bukoba Vijijini - Mkoa wa Kagera - Tanzania
 

Behendangabo | Bujugo | Butelankuzi | Ibwera | Izimbya | Kaagya | Kaibanja | Kanyangereko | Karabagaine | Kasharu | Katerero | Katoma | Katoro | Kemondo | Kibirizi | Kikomelo | Kishanje | Kishogo | Kyaitoke | Kyamulaile | Maruku | Mikoni | Mugajwale | Nyakato | Nyakibimbili | Rubafu | Rubale | Ruhunga | Rukoma

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Karabagaine kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.