Chekehukwa
(Elekezwa kutoka Burhinidae)
Chekehukwa | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
|
Chekehukwa ni ndege wa familia ya Burhinidae.
Ndege hao wana rangi zinazowanyerereza wakisimama au kutembea chini. Wakiona hatari husimama tuli na hupatana na mahali pa nyuma. Kwa hvyo hawaonekani sana wakati wa mchana. Huenda zaidi usiku na huonekana mara kwa mara mwangani kwa mbele kwa gari. Husikika zaidi ya kuoneka.
Wanatokea maeneo makavu na hula wadudu, mijusi na wanyama wadogo.
Spishi za Afrika (na Ulaya)
hariri- Burhinus capensis, Chekehukwa Madoa (Spotted Thick-knee au Spotted Dikkop)
- Burhinus oedicnemus, Chekehukwa wa Ulaya (Stone-curlew)
- Burhinus senegalensis, Chekehukwa Magharibi (Senegal Thick-knee)
- Burhinus vermiculatus, Chekehukwa-maji au Chekeamwezi (Water Thick-knee au Water Dikkop)
Spishi za mabara mengine
hariri- Burhinus bistriatus (Double-striped Thick-knee)
- Burhinus grallarius (Bush Stone-curlew)
- Burhinus indicus (Indian Stone-curlew)
- Burhinus superciliaris (Peruvian Thick-knee)
- Esacus magnirostris (Beach Stone-curlew)
- Esacus recurvirostris (Great Thick-knee)
Picha
hariri-
Chekehukwa madoa
-
Chekehukwa wa Ulaya
-
Chekeamwezi
-
Double-striped Thick-knee
-
Bush Stone-curlew