Butterfly ni albamu ya sita ya studio, kutoka kwa Mwanamuzikin wa Marekeni anayeimba nyimbo zenye miondoko ya pop, Mariah Carey, iliyotoka resmi tarehe 19 Septemba 1997, kupitia katika studio za Columbia Recoerds. Albamu hii iliweza kuuza nakazala zaidi ya 3,719,000 nchini Marekani peke yake.[1] . Mariah anaielezea albamu hii kama hatua muhimu sana katika maisha yake ya kimuziki.

Butterfly
Butterfly Cover
{{{Type}}}
Aina Pop, R&B, hip hop
Urefu 57:10
Lebo Columbia
Wendo wa albamu za {{{Msanii}}}
Daydream
(1995)
Butterfly
(1997)
Rainbow
(1999)


Mapokezi

hariri

Butterfly ilipanda hadi nafasi ya kwanza katika chati ya nyimbio bora mia mbili ya Marekani, Billboard 200 huku ikiunza nakala zaidi ya 236,000 katika juma lake la kwanza tangu ilipooka, albamu hii ilikaa katika nafassi ya kwanza kwa jumla ya majuma ishirini na moja na kukaa ndani ya chati kwa jumla ya majuma hamsini na tano. Albamu hii, iliweza kuuza zaidi katika wiki yake ya kumi na nne na kumi na tano tangu itoke kuliko katika kiki yake ya kwanza, kwa kufanikiwa kuuza nakala 283,000 katika wiki yake kumi na nne wakati ikishika nafasi ya nane katika chati hiyo. Albamu hii ilichaguliwa kuwa moja kati ya albamu 1001 ambazo unatakiwa kuzisikiliza kabla haujafa. [2]

Orodha ya nyimbo

hariri

Kigezo:Orodha ya nyimbo

Toleo la kimataifa

13. "Honey" (So So Def Radio Mix featuring Da Brat and JD) (Carey, Robinson, Hague, Larkins, Price, McLaren, Freddie Perren, Alphonzo Mizell, Berry Gordy, Dennis Lussier) – 3:59
14. "Honey" (Def Club Mix) (Carey, Robinson) – 6:17

Latin American edition

15. "Mi Todo" (Carey, Afanasieff, Manny Benito) – 3:52

1 Sampled from the Treacherous Three's "The Body Rock" & the World Famous Supreme Team's "Hey DJ"
2 Sampled from Mobb Deep's "Shook Ones"

Chart performance

hariri
Chati Ilipata
nafasi
Certification
(sales thresholds)
Australian Albums Chart[3] 1 2x Platinum[4]
Austrian Albums Chart[5] 5
Belgian Flandres Albums Chart[6] 6 Gold[7]
Belgian Wallonia Albums Chart[8] 2
Canadian Albums Chart[9] 1 2x Platinum[10]
Dutch Albums Chart[11] 1 Gold[12]
European Albums Chart[13] n/a Platinum[14]
Finnish Albums Chart[15] 12
French Albums Chart[16] 6 2x Gold[17]
German Albums Chart[18] 7
Hungarian Albums Chart[19] 20
Italian Albums Chart[20] 2 Platinum[21]
Japanese Albums Chart[22] 1 Million[23]
New Zealand Albums Chart[24] 4 Platinum[25]
Norwegian Albums Chart[26] 5
Poland n/a Gold[27]
Spanish Albums Chart[28] 5 Platinum[29]
Swedish Albums Chart[30] 4
Swiss Albums Chart[31] 3 Gold[32]
UK Albums Chart[33] 2 Gold[34]
U.S. Billboard 200[35] 1 5x Multi-Platinum[36]
  • Most certifications are from old criterion (Sales may be higher than the certification level says now).
Alitanguliwa na
Fuzaken ja ne by Tsuyoshi Nagabuchi
Japanese Oricon weekly
22 Septemba 1997
Akafuatiwa na
Junior Sweet by Chara
Alitanguliwa na
In Deep by Tina Arena
Australian ARIA Albums Chart number-one album
28 Septemba - 4 Oktoba 1997
Akafuatiwa na
Anthology 1: Greatest Hits 1987-1997 by John Farnham
Alitanguliwa na
Niets Te Verliezen by De Kast
Dutch Albums Charts number-one album
27 Septemba - 4 Oktoba 1997
Akafuatiwa na
Weil Ich Dich Liebe by Frans Bauer
Alitanguliwa na
You Light Up My Life — Inspirational Songs
by LeAnn Rimes
Billboard 200 number-one album
4-10 Oktoba 1997
Akafuatiwa na
Evolution by Boyz II Men

Marejeo

hariri
  1. [1]
  2. "001 Albums You Must Hear Before You Die". Rocklistmusic.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-30. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  3. "Australian Albums Chart". Ariacharts.com.au. 2009-09-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  4. "ARIA". ARIA. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  5. "Austrian Albums Chart". Oe3.orf.at. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  6. "Flandres Albums Chart". Ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  7. "IFPI Belgium". Ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  8. "Wallonia Albums Chart". Ultratop.be. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  9. "Canadian Albums Chart". Jam.canoe.ca. 2009-09-20. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  10. "CRIA". Cria.ca. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  11. Steffen Hung (2009-03-06). "Dutch Albums Chart". Dutchcharts.nl. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  12. "NVPI". Nvpi.nl. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-12. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  13. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-04-07.
  14. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2010-04-07.
  15. Julkaistu Ke, 22/10/2008 - 21:40 (2008-10-22). "Finnish Albums Chart". Yle.fi. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  16. "French Albums Chart". Chartsinfrance.net. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  17. "SNEP". Disqueenfrance.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  18. "German Albums Chart". Musicload.de. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-16. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  19. "Hungarian Albums Chart". Mahasz.hu. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-08. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  20. "Italian Albums Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-06. Iliwekwa mnamo 2010-04-07.
  21. "FIMI". Fimi.it. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  22. http://www.oricon.co.jp/rank/ea/w/
  23. http://www.oricon.co.jp/rank/ea/w/
  24. "New Zealand Albums Chart". Rianz.org.nz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-06-21. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  25. "RIANZ". RIANZ. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-14. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  26. "Norwegian Albums Chart". Ifpi.no. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  27. "ZPAV". Zpav.pl. 2000-10-23. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-06. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  28. "Spanish Albums Chart". Promusicae.es. 2007-03-05. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  29. "Promusicae". Promusicae.es. 2007-03-05. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  30. "Swedish Albums Chart". Hitlistan.se. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  31. Steffen Hung. "Swiss Albums Chart". Hitparade.ch. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  32. Steffen Hung. "IFPI Switzerland". Swisscharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  33. www.devstars.com. "UK Albums Chart". Theofficialcharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  34. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-17. Iliwekwa mnamo 2010-04-07.
  35. "U.S. Albums Chart". Billboard.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-05-04. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.
  36. "Gold & Platinum - September 26, 2009". RIAA. Iliwekwa mnamo 2009-09-26.