Daydream ni albamu ya tano kutoka kwa Mariah Carey, ambaye pia ndiye mwandishi wa nyimbo, iliyotoka tarehe 3 Oktoba 1995 kupitia katika studio za Columbia Records, ikifuatia albamu yake iliyokuwa na mafanikio ya mwaka 1993, Music Box na albamu ya mwaka 1994 iliyoitwa Merry Christmas
Ukiachalia mbali, mabadiliko ya sauti katika albamu hii, suala ambalo hata studio alizorekodia hazikuridhishwa nazo, lakini kwa mabadiliko hayo yalipokewa vizuri na mashabiki wake, hususani kwa upande wa mauzo, ambapo albamu hii ilizidi matarajio ya mauzo na kuifanya kuwa albamu ya pili katika albamu yake zinazoongoza kwa mauzo, nyumba ya albamu ya Music Box. Albamu hii ilifanikiwa kuuza nakala milioni kumi Marekani peke yake.[1].[2]. Huko Australia albamu hii iliishia nafasi ya tisa katika chati ya muziki ya nchini kwa mwaka 1996 [3][4][5] Albamu hii ya Daydream bado inabaki kuwa moja kati ya albamu zilizowahi kufaya vizuri zaidi katika chati mbalimbalin za mauzo duniani, kwa kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala milioni 25 duniani kote .[6][7]
Albamu ya tatu kutoka kwa Mariah ya Music Box iliyotoka mwaka (1993) ndiyo inayoongoza katika albamu zake za studio. Lakini pia albamu yake ya Merry Christmas iliyotoka mwaka 1994 ilipata mapokeo mazuri. Kipindi cha kuanzia kutoka kwa albamu ya Merry Christmas na Daydream ndio kilikua kipindi cha Mariah kupata matatizo ya kimahusiano baina yake na aliyekuwa mume wake Mommy Mottola.
Kuanzia mwanzo wa kazi zake kama Mwanamuziki, Mottola amekuwa akiongoza kazi zote za Mariah ikiwa ni pamoja na sauti yake kuendelea kuimba miondoko ya pop badala ya hip hop suala ambalo yeye mwenyewe Mariah alikuwa akilitamani. Hususani wakati wa kutoka kwa albamu ya daydream' ."[8] Lakini hata hivyo, uongozi wa Mottola katika maisha ya Carey, uliziki kuongezeka pale wawili hawa walipooana na hivyo kusababisha kuongezeka kwa ugomvi baina ya wawili hawa. [9] Lakini hata hivyo, muda mfupi baadae, ilikuwa wazi kuwa wawili hawa walikuwa katika hali ya utata na ndoa yao kuwa katika hati hati.
Mwaka 1995, Mariah alitangaza rasmi kuwa, ameanza kuimba kwa staili nyingine, kufuatia kutoka kwa albamu ya Daydream, jambo lilipata upinza sana kutoka kwa mume wake na wanyakazi wengine. Lakini Mariah aliendelea kushikilia msimamo wake na kuliambia gazeti la Times kuwa alikuwa akirudia na kurudia kurekodi kwa haraka zaidi, na kuwa amepata wakati wa kuweza kutilia maanani zaidi kwa kile anaachokifanya."[10][11]
Daydream ilitoka rasmi mwezi wa kumi tarehe 3, mwaka 1995, nchini Marekani na kufanikiwa kuuza zaidi ya nakala 224,000 katika wiki yake ya kwanza ya mauzo, na kuifanya albamu hii kuwa albamu ya kwanza ya Mariah kufanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza na kukaa katika nafasi ya kwanza kwa takribani wiki sita zisikuwa za mfululizo, na kukaa katika nyimbo kumi bora kwa majuma ishirini na tisa
Hata hivyo albamu ilifanikiwa kuuza zaidi ya nakala 760,000 wakati wa siku kuu ya Christmas ya mwaka 1995. Na kufanya mauzo hayo kuwa mauzo makubwa zaidi kuwahi kufikiwa kwa mwanamuziki wa kike ndani ya wiki moja .[13]
Baada ya kufanikiwa kuuza nakala zaidi ya 7,556,000 nchini Marekani.[14] na kuweza kusafirisha nakala milioni kumi, chama cha RIAA Recording Industry Association of America kilitangaza rasmi kuwa albamu hii kupata hadhi ya platinum, ambayo pia hujulikana kama hadhi ya almasi [15][16]Daydream is one of the first sixty-two albums to have achieved the diamond status.[16] kwa mujibu wa Billboard albam ya daydream imefanikiwa kuingia katika orodha ya albamu bora za muda wote kutoka kwa mwanamuziki asiyekuwa na asili ya Asia kwa kufanikiwa kuuza nakala zaidi 2,100,000 .[17]
↑Christopher John Farley (2001-06-21). "Pop's princess grows up". Time. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-09-17. Iliwekwa mnamo 2009-04-05. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help); Unknown parameter |= ignored (help)
↑Kent, David (2003). Australian Chart Book 1970-1992. ISBN0-646-11917-6. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameters: |coauthors= na |month= (help)