Cacau (alizaliwa 27 Machi 1981) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ujerumani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Ujerumani.

Cacau
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUjerumani, Brazil Hariri
Nchi anayoitumikiaUjerumani Hariri
Jina katika lugha mamaCacau Hariri
Jina la kuzaliwaClaudemir Jerônimo Barreto Hariri
Jina halisiClaudemir Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa27 Machi 1981 Hariri
Mahali alipozaliwaSão Paulo Hariri
NduguVlademir Jeronimo Barreto Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKijerumani Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
Eneo la kaziStuttgart Hariri
Muda wa kazi2001 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji18 Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2010 Hariri
Ligi3. Liga, Bundesliga Hariri
Tuzo iliyopokelewaSilbernes Lorbeerblatt, Order of Merit of Baden-Württemberg Hariri
Tovutihttp://www.cacau.de/ Hariri

Cacau ameichezea timu ya taifa ya Ujerumani tangu mwaka wa 2009. Cacau alicheza Ujerumani katika mechi 23, akifunga mabao 6.[1]

Takwimu hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Ujerumani
Mwaka Mechi Magoli
2009 4 0
2010 13 4
2011 4 1
2012 2 1
Jumla 23 6

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 Cacau at National-Football-Teams.com
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cacau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.