Don Van Vliet (15 Januari, 1941 mjini Glendale, California - 17 Desemba, 2010) alikuwa mwimbaji na mchoraji wa Marekani. Bendi yake alikuwa Captain Beefheart & the Magic Band.

Captain Beefheart

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Don Glen Vliet
Amezaliwa (1941-01-15)Januari 15, 1941
Glendale, California, U.S.
Aina ya muziki Rock
Miaka ya kazi 1964–1982
Studio A&M, Buddah, Blue Thumb, ABC, Reprise, Straight, Virgin, Mercury, DiscReet, Warner Bros., Atlantic, Epic
Ame/Wameshirikiana na Frank Zappa

Muziki

hariri
Albamu
  • Safe as Milk (1967)
  • Strictly Personal (1968)
  • Trout Mask Replica (1969)
  • Lick My Decals Off, Baby (1970)
  • Mirror Man (1971)
  • The Spotlight Kid (1972)
  • Clear Spot (1972)
  • Unconditionally Guaranteed (1974)
  • Bluejeans & Moonbeams (1974)
  • Shiny Beast (Bat Chain Puller) (1978)
  • Doc at the Radar Station (1980)
  • Ice Cream for Crow (1982)

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons