Carihuairazo ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Mlima Carihuairazo

Urefu wake ni mita 5,018 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri