Carla Denyer

Mwanasiasa Mwingereza na kiongozi mwenza wa Chama cha Kijani cha Uingereza na Wales

Carla Suzanne Denyer (alizaliwa 1985) [1] ni mwanasiasa wa nchini Uingereza ambaye alihudumu kama kiongozi mwenza wa Chama cha siasa cha Green party cha Uingereza na Welisi tangu 2021. Amekuwa diwani wa jiji la Bristol tangu 2015.

Elimu na kazi hariri

Denyer alisoma katika shule ya serikali kabla ya kusomea uhandisi wa mitambo katika Chuo cha St Chad's, Durham kuanzia 2005 hadi 2009. [2] [3] Aliendelea kufanya kazi katika sekta ya nishati ya upepo, akifanya kazi kwa mshauri wa nishati mbadala yenye makao yake Bristol, GL Garrad Hassan, [4] [5] kuanzia 2009 hadi kuhamishia taaluma yake kwenye siasa. [6] [7]

Marejeo hariri

  1. "Interview: Talking COP26, the climate crisis and university activism with co-leader of the Green Party Carla Denyer". Epigram. 2021-11-05. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-06. Iliwekwa mnamo 2021-11-06. 
  2. "Political Thinking with Nick Robinson - The Carla Denyer One - BBC Sounds". www.bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 26 March 2023.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. 'News', Newswire (May 2018).
  4. Robert Buckland, 'Recognition for Bristol firms that go extra mile to encourage sustainable travel Archived 10 Aprili 2023 at the Wayback Machine.', Bristol Business News (4 December 2013).
  5. Fiona Harvey, 'Climate takes centre stage as Green party launches campaign', The Guardian (6 November 2019).
  6. Henry Edwardes-Evans, 'S&P Global Platts Interview: UK Green Party's Carla Denyer', Platts European Power Daily, vol. 21; no. 213 (1 November 2019).
  7. Gaby Hinsliff, '"I’m not going to be bullied into silence." The women defying abuse to stand as MPs', The Guardian (21 November 2019).
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carla Denyer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.