Carlo Azzini

Mpanda baiskeli.

Carlo Azzini (19 Julai 193512 Januari 2020) alikuwa mpanda baiskeli wa mashindano kutoka Italia.[1] Aliwahi kushiriki katika Tour de France ya mwaka 1962.[2][3]

Marejeo

hariri
  1. "Carlo Azzini". Cycling Archives. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Tour de France 1962". Cycling Archives. Iliwekwa mnamo 3 Septemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Saint-Raphaël–Helyett–Hutchinson (1962)" (kwa French). Mémoire du cyclisme. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 Mei 2017. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carlo Azzini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.