Carlos Vela
Carlos Vela (alizaliwa 1 Machi 1989) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Los Angeles FC na timu ya taifa ya Mexico.
Vela alianza kazi yake katika klabu ya Guadalajara, ambapo alipatabahati kutokan ufundi wake na kusajiliwa Ulaya baada ya kumaliza kama mchezaji bora katika michuano ya Ulimwengu ya FIFA ya watu chini ya miaka 17, na hatimaye kujiunga na klabu ya Premier League Arsenal mwaka huo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Carlos Vela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |