Caroline Pafford Miller
Caroline Pafford Miller (26 Agosti 1903 – 12 Julai 1992) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1934 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake Lamb in His Bosom.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caroline Pafford Miller kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |