Caryma Sa'd
Caryma Sa'd ni mwanasheria wa Kanada na pia ni mwanahabari.Anajulikana kwa kuandika matukio katika maandamano ya kupinga COVID-19-lockdown nchini Kanada,Pia ni wakili mpangaji wa nyumba.[1]Caryma ni mkurugenzi mtendaji wa zamani wa tawi la Kanada la National Organization for the Reform of Marijuana (NORML).
Marejeo
hariri- ↑ Leck, Sebastian (2021-03-30). "How this young lawyer works to tackle Toronto's eviction crisis". Canada's National Observer (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-03-30. Iliwekwa mnamo 2021-11-04.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Caryma Sa'd kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |