Biva
(Elekezwa kutoka Castoridae)
Biva | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Biva wa Amerika (Castor canadensis)
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 2:
|
Biva (kutoka Kiingereza: beaver, jina la kisayansi: Castor) ni wanyama wagugunaji wa Amerika ya Kaskazini, Ulaya na Asia.
Spishi
hariri- Castor canadensis, Biva wa Amerika (North American Beaver)
- Castor fiber, Biva wa Ulaya (European Beaver)
Picha
hariri-
Biva wa Ulaya
-
Lambo la biva
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Biva kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |