Cayambe ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Cayambe mwaka 2017
Cayambe

Urefu wake ni mita 5,790 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri