Celestine Bisoga

Mchezaji wa mpira wa vikapu wa Kongo (DRC)

Celestine Bisoga Mianda (amezaliwa Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, 21 Oktoba 1990) ni mchezaji wa mpira wa kikapu.

Amecheza na klabu ya ASB Makomeno. Alishiriki katika timu ya taifa ya JK Kongo kwenye mashindano ya mpira wa kikapu wa wanawake wa Afrika kwenye mwaka 2019 akafikia nafasi ya 6 pamoja na timu yake[1].

Marejeo

hariri
  1. Celestine BISOGA, tovuti ya fiba.basketball/womensafrobasket/2019
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Celestine Bisoga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.