Chékéba Hachemi

Chékéba Hachemi (kidari: شکیبا هاشمی), (kuzaliwa 20 Mei 1974) ni mwandishi na mwanaharakati wa Afghanistan. Alikuwa mwanamke wa kwanza wa Afghanistan kutajwa kuwa mwanadiplomasia, mwaka wa 2001. Yeye ni Rais na mwanzilishi wa taasisi isiyo ya kiserikali (AZAKI) ya Afghanistan Libre.[1]

Chékéba Hachemi

Marejeo.Edit

  1. Donate to Afghanistan Libre (en-US). www.globalgiving.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-23.