Chama cha Skauti Niger

(Elekezwa kutoka Chama cha skauti niger)

Chama cha Skauti Niger ( kwa lugha ya Hausa Iskutun Niger na lugha ya zarma nizer skutey ) ni taasisi ya skauti ya kitaifa nchini Niger. Ilizinduliwa mwaka 1993 na kuwa mwanachama wa Shirika la Harakati za Skauti Duniani mwaka 1996. Taasisi hii ya Chama Cha skauti Niger ina wanachama 3,202 mpaka kufikia mwaka 2011.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Census and Service Report: July 2010- December 2010". PsycEXTRA Dataset. Iliwekwa mnamo 2022-11-27.