Chambeshi (mto)
Chambeshi (pia Chambezi) ni tawimto kubwa la mto Lualaba na ilhali chanzo chake ni chanzo cha mbali kati ya matawimto ya beseni la Kongo kinatazamwa pia kama chanzo cha mto Kongo wenyewe.
Chanzo hicho kipo nchini Zambia karibu na Ziwa Tanganyika kwenye kimo cha mita 1,760 juu ya UB.
Tazama pia
haririMarejeo
haririViungo vya Nje
hariri- Chambeshi River Floods Ilihifadhiwa 2 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine. at NASA Earth Observatory
11°28′S 30°21′E / 11.467°S 30.350°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chambeshi (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |