Charity Adule

Mchezaji wa soka wa Nigeria

Charity Ogbenyealu Adule (alizaliwa 7 Novemba, 1993) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya wanawake ya SD Eibar katika ligi ya Primera División nchini Hispania na timu ya taifa ya wanawake ya nchini Nigeria. Akiwa katika ngazi ya klabu, amewahikuchezea timu ya Rivers Angels, Bayelsa Queens na BIIK Kazygurt.[1][2]

Charity Ogbenyealu Adule
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Jina halisiCharity Hariri
Jina la familiaAdule Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa7 Novemba 1993 Hariri
Mahali alipozaliwaWarri Hariri
Lugha ya asiliKiigbo Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kiigbo, Nigerian Pidgin Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuKiungo Hariri
AlisomaDelta State University Hariri
Mwanachama wa timu ya michezoRivers Angels F.C. Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji20 Hariri

Marejeo hariri

  1. "Q & A With Adule Charity". SL10. 12 July 2014. Iliwekwa mnamo 14 November 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Nigeria (Women) 2006". RSSSF. 31 July 2008. Iliwekwa mnamo 14 November 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charity Adule kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.