Charlotte Greig
Charlotte Greig (10 Agosti 1954 - 19 Juni 2014) alikuwa mwandishi wa riwaya, wa michezo ya kuigiza, wa habari za muziki, mwimbaji na mwandishi wa nyimbo nchini Uingereza.[1]
Maisha ya awali
haririBaba Charlotte Greig alikuwa katika jeshi la wanamaji. Mnamo mwaka 1962,alianza kujifunza kuimba nyimbo za kitamaduni. Alipokuwa na umri wa miaka 10 alipelekwa shule ya bweni ya St Stephen's College, Broadstairs, Kent, ambako alijifunza kupiga kinanda. Alisoma falsafa katika Chuo Kikuu cha Sussex mwaka 1970.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Charlotte Williams (Greig) 1954 – 2014", 1 July 2014.
- ↑ "Charlotte Greig folk musician, author and the world's unlikeliest hip-hopper", walesonline.co.uk, 15 February 2014.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlotte Greig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |