Charmaine Elizabeth Hooper (amezaliwa Januari 15, 1968) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Kanada. Mshindi mara nne wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Kanada na mshiriki wa ligi ya kanada ya Hall of Fame, Hooper alichezea timu ya taifa ya wanawake ya Kanada kutoka mwaka 1986 hadi 2006. Akiwa mshambuliaji, alishikilia rekodi ya Kanada kwa timu ya taifa ya wanawake kwa idadi ya mechi alizocheza na mabao aliyofunga alipoistaafu.[1][2]


Marejeo

hariri
  1. Hartai, Katie (Juni 25, 2015). "Canada's Sports Hall of Fame Profile: Charmaine Hooper". www.ottawalife.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-04-25. Iliwekwa mnamo Julai 18, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Hersh, Philip. "Canada's Real Goal-Getter", June 13, 1999. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charmaine Hooper kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.