Chawa-vitabu
Chawa-vitabu | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Trogium pulsatorium
| ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Nusuoda 2, familia 2:
|
Chawa-vitabu (kutoka Kiing.: booklice) au chawa-vumbi (kutoka Kiholanzi: stofluis) ni wadudu wadogo (mm 1-2) wa familia Liposcelididae na Trogiidae katika oda Psocodea ambao hawana mabawa. Takriban spishi zote zinaishi katika majengo ambamo hula maada za wanga, k.m. ambo katika vitabu (asili ya jina).
Wadudu hawa wana umbo wa nzi-gome bila mabawa. Wana nasaba karibu na chawa vidusia ambao siku hizi hufikiriwa kuwa oda ndogo katika nusuoda Troctomorpha.
Spishi kadhaa za Afrika ya Mashariki
hariri- Cerobasis guestfalica
- Lepinotus angolensis
- Lepinotus fuscus
- Lepinotus inquilinus
- Liposcelis angolensis
- Liposcelis annulata
- Liposcelis bostrychophila
- Trogium apterum
- Trogium pulsatorium
Picha
hariri-
Cerobasis guestfalica
-
Lepinotus reticulatus
-
Liposcelis sp.
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chawa-vitabu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |