Chemchemi (maana)
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Chemchemi inaweza kumaanisha
- Chemchemi - mahali mabako maji hutoka kwenye ardhi
Chemchemi au Chemchem inaweza kutaja pia mahali karibu na chemchemi
- Chemchem (Tabora mjini) - kata ya Wilaya ya Tabora - Mkoa wa Tabora - Tanzania
- Chemchem (Rufiji) - kata ya Wilaya ya Rufiji - Mkoa wa Pwani - Tanzania
- Chemchem (Kondoa) - kata ya Wilaya ya Kondoa Mjini - Tanzania
- Chemchem (Unguja) - kata ya Wilaya ya Unguja Magharibi A - Tanzania
- ni pia sehemu ya majina ya watu mbalimbali