Wilaya ya Rufiji

Mkoa wa Pwani kabla ya Wilaya ya Rufiji kugawiwa.

Wilaya ya Rufiji ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani yenye postikodi namba 61600[1].

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 92,602 [2], walioongezeka kuwa 217,274 wakati wa sensa ya mwaka 2012[3].

Mwaka 2017 wilaya iligawiwa, na maeneo ya Wilaya ya Kibiti yalitengwa: ni wakazi 103,174 tu waliobaki mnamo mwaka 2016.[4]

Makao makuu ya wilaya yanapatikana Utete.

Kata za RufijiEdit

The Rufiji District is administratively divided into 19 wards:

 • Bungu
 • Chumbi
 • Ikwiriri
 • Kibiti
 • Kiongoroni
 • Mahege
 • Maparoni
 • Mbuchi
 • Mbwara
 • Mchukwi
 • Mgomba
 • Mkongo
 • Mtunda
 • Mwaseni
 • Ngorongo
 • Ruaruke
 • Salale
 • Umwe
 • Utete
 • Kilimani
 • Kipugila
 • Ngolongo


MarejeoEdit

 1. https://www.tcra.go.tz/images/documents/postcode/pwani.pdf
 2. Sensa ya 2002 ilitazamiwa kwenye web.archive.org mnamo mwaka 2015
 3. Sensa ya 2012, tovuti ya http://www.meac.go.tz, iliangaliwa Juni 2017
 4. Makadirio ya idadi ya watu katika majimbo ya uchaguzi Tanzania Bara kwa mwaka 2016, tovuti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu, iliangaliwa Juni 2017
  Kata za Wilaya ya Rufiji - Mkoa wa Pwani - Tanzania
 

Chemchem | Chumbi | Ikwiriri | Kipugira | Mbwara | Mgomba | Mkongo | Mohoro | Mwaseni | Ngarambe | Ngorongo | Umwe | Utete


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Rufiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.